Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,263
Kwema chief karibu lindoniwalinzi wenzangu mu hali gani?
Kwema chief karibu lindoniwalinzi wenzangu mu hali gani?
mkuu nimetimba mazima ka vijana wakileo wasemavyo
jambo la heri mjumbe.toka asubuhi napiga kazi ka mbwa koko mkuu sasa ndo naona nipumzike kwa kuwajulia wadau hali
mkuu unalinda nini hapo saiv?Kwema chief karibu lindoni
kweli mkuu, saivi tunaburudisha akili na kuongeza vitu toka kwa wakuu mbalimbalijambo la heri mjumbe.
nipo nalinda JF isivamiwe na wasiojulikanamkuu unalinda nini hapo saiv?
sawa mkuu ngoja mie nipumzishe macho kidogo ili baadae yafunguke vyemanipo nalinda JF isivamiwe na wasiojulikana
poa chief mimi nasubiri kufinga geti.sawa mkuu ngoja mie nipumzishe macho kidogo ili baadae yafunguke vyema
Halafu hiyo haimaanishi mama ina maanisha mke au mpenzi
Sasa huyo mke au mpenz akiwa hana kitu chochote kichwani cha kumwezesha mumewe kupata maendeleo zaid ya kutumia tu pesa yake mume hatopata maendeleo ya kueleweka maana mke/mchumba hana chochote cha kumpa zaidi ya uchi na wowowo lake
Wise wife/fiance humwezesha mwenzake kufikia maendeleo makubwa
Over!
Nadhan hata mawazo ambayo ni kama ushauri pekee yanatosha kabisa..
Nadhan hata mawazo ambayo ni kama ushauri pekee yanatosha kabisa..
Yaweza kukufanya uzidi kuwa na pesa ndefu
Sio lazima mke awe na kipato yeye pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaongelea mwanamke awe na kipato nazungumzia
-uwezo wa kushauri ifaavyo kea maendeleo ya familia(sio anajua kushauri viwanja vya kwenda kula starehe tu)
-uwajibikaji katika ndoa yake na fanilia yake
-malezi ya watoto katika maadili sio ealelewe na housegirl tu
-ubunifu katika kuleta maendeleo ya familia mfano miradi,bajeti na ukasiriamali

Sasa kuna bidada hapa kanambia maendeleo yann sasa ukinioa maendeleo unayaleta wewe![]()
Ukifunga ndoa mnaunganishwa kuwa kitu kimoja,
So akisema maendeleo unayaleta wew ni sawa na akisema maendeleo tutayaleta sote.
Kakupa kipaumbele tu,
Yani akiulizwa mladi wa biashara niwa nani, atasema wa mume wangu, japo ni yeye ndie alitoa wazo na wew ukatoa mtaji. Mu kitu kimoja lakini.
Sent using Jamii Forums mobile app