JamiiForums Usiku wa manane
Tuanzia hapa....nifahamishe



Ilinibidi niwe mpole sikujua kama umesema Nakupenda au Umenipa za Mbavu....teh teh
•Yente/yechu/mori/gudi zote zinamaanisha poa/safi/fresh/good

• mamalai - ni kama kusema 'my lady' ila kwa swahili ni kusema 'mama angu'.

So 'poa mamaangu'.

Ualimu kazi asee
 
Kama umenyaka nitupie hata mti bese taraa namimi niandasike arif
Kazi kwako bro

Angalizo,,usije anza itafuta simu ili hali unaitumia bro
IMG_20190126_012659.jpeg
 
Back
Top Bottom