JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hapa boda hii kitu inamaliza watz mana wanasaga kwa kujiachia sana, akiingiza mguu upande wa tz anakuwa yuko sawa hata polisi anamuona kama mtoto ake.
Hahaha wabongo sisi shida tupu,akivuka ile boda anakuwa anasaga tena anachambua jani moja moja kama anakuwa anamuoneshea askari vile,akimaliza kila kitu anavuka boda anarudi bongo na wenge lake askar anakuwa hana la kumfanya hahahah
 
Sema ubaya wake ni kujisahau tu. Unaeza vuka huku una taxima shavuni mapai wanakudaka kama kuku
 
Hahaha wabongo sisi shida tupu,akivuka ile boda anakuwa anasaga tena anachambua jani moja moja kama anakuwa anamuoneshea askari vile,akimaliza kila kitu anavuka boda anarudi bongo na wenge lake askar anakuwa hana la kumfanya hahahah
Yani polisi wanakuona kabsa lakini hawezi kukwambia kitu kabsa, na akiingiza mguu tz anatema na kujipangusa alaf anampa hai Oss wa osbp maisha yanaendelea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom