Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Nitakukimbia sasa. ...kitambo lakiniNzurii eti muda huu nishakumiss dada
Nitakukimbia sasa. ...kitambo lakiniNzurii eti muda huu nishakumiss dada
Kitu moja jamaa walikua wananirusha handas ni wakikudaka wanakunyang'anya veve yako na machanjio alafu wanaanza wao kuchanja kitu yako.Yan we jisahau tu uingie na kajani kwenye mfuko wa shat kamejishikiza bahat mbaya mbona utaeleza na pesa utatoboka nyingi tu.
Hahaha chalii ya R siezi anya kiwaki kiivyo
Duh,,mbauda hadi ngaramtoni??sema nn wanakuwa wamekusave maana wakisema wakomae na ww,ukienda ndani pesa yake si ya kitoto broKitu moja jamaa walikua wananirusha handas ni wakikudaka wanakunyang'anya veve yako na machanjio alafu wanaanza wao kuchanja kitu yako.
Alafu wanakuweka kwenye pira wanazunguka na wewe mpaka usiku mida kama hii wanakusachi hawakuachii hata tenga ndio wanaku dump mfano wamekutoa mbauda unaeza kuwa dumped hata ngaramtoni
Maswali gani haya?Hiu kitu napata wapi?? A town
Unamaanisha nn dadaNitakukimbia sasa. ...kitambo lakini
HahahaKiranja katika Ubora wako![]()
Hahaha wabongo sisi shida tupu,akivuka ile boda anakuwa anasaga tena anachambua jani moja moja kama anakuwa anamuoneshea askari vile,akimaliza kila kitu anavuka boda anarudi bongo na wenge lake askar anakuwa hana la kumfanya hahahah
Natania tuMaswali gani haya?
Yeah, chalii wa Arusha.Chalii ya R tena?
Hahaha jiandae tuNipeleke kwa hiyo Boda jamani
Embu nifundisheHahaha acha mzee,hyo huwa ni noma sana,halaf mapai wanakuwa wamekuchora muda mrefu tu,wakat huo ushahandsika huna habar unashanga mbele yako hao
Ehh kuna chaliwangu mmoja walimbeba wanguwangu wakakesha nae wakamtelekeza mbali ilibidi atafute simu tukamfata na toyoDuh,,mbauda hadi ngaramtoni??sema nn wanakuwa wamekusave maana wakisema wakomae na ww,ukienda ndani pesa yake si ya kitoto bro
Utaeza chanja veve?Nipeleke kwa hiyo Boda jamani
Mapai/Mamwela =Ma AskariEmbu nifundishe
Mapai =
Kiranja katika Ubora wako![]()

Wanimisi niko next door???Unamaanisha nn dada
Tukiwa Nai tunaita KarauMapai/Mamwela =Ma Askari
Dah,wanaweza kuwa waliona wapo mitaa ile ile,,handasi tenaEhh kuna chaliwangu mmoja walimbeba wanguwangu wakakesha nae wakamtelekeza mbali ilibidi atafute simu tukamfata na toyo