Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,883
- 51,697
Fresh tu, vipi za hapo ulipo? Kuna usalama huko?Sijambo wewe je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fresh tu, vipi za hapo ulipo? Kuna usalama huko?Sijambo wewe je?
Safi sana chalii kwenye lindo ni mchapa kaziNiko salama kabisa....
Ulinzi upo. ..Kiranja chaliifrancisco anafanya kazi vizuri
Safi sana chalii kwenye lindo ni mchapa kazi.
Apia?Nimekuelewa Kaka Mpendwa
Vipi shemeji hana wivu unaenda lindo hakusumbuiNasubiri nione anavyo wajibika.
Apia?
Niko salama kabisa....
Ulinzi upo. ..Kiranja chaliifrancisco anafanya kazi vizuri
Nimejitoa kuwatumikia ndugu walinzi wenzanguNasubiri nione anavyo wajibika.


Duh unatokea mozambique au. Hata apia huelewi. Ni 'swear to God'Sijui Ku Apia....ndio nafanyaje?
Nimejitoa kuwatumikia ndugu walinzi wenzangu![]()
Msikuwe na hofuTunakupa mda.....
Duh unatokea mozambique au. Hata apia huelewi. Ni 'swear to God'
Msikuwe na hofu
I shouldn't have made you do this. Sorry maana wengine imani hazitakiI Swear to God!

Uwepo wako ni muhimu pia. Ukiondoka utapunguza ratio ya mbu per person

