Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Ni kweli mkuuKhantwe usingizi ni kama madawa ya kulevya tu hasa ukiwa na busy day usiku utalewa hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuuKhantwe usingizi ni kama madawa ya kulevya tu hasa ukiwa na busy day usiku utalewa hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kama hii
Ehhh baba la baba hiyo hiyo, leo lindo kama lote hakuna kulalaHahah kama hiiView attachment 1004886
Hahah poa poa mkuu
Yep yep ngoja nilete Big G na maji kubwa tuvevekeHahah kama hiiView attachment 1004886
Niaje Chalii?00:16AM
Yente mamalaiNiaje Chalii?
Mbona umekuwa humbled?
Mapema sana asee. Naona leo watu wanachelewa kuwahi kwenye post zao.
Anza namba mzee baba, tunataka kujua watoroMapema sana asee. Naona leo watu wanachelewa kuwahi kwenye post zao.
Hakunaga roll call?
Sijambo wewe je?
Lugha gongano nahisi ndio maana

Ndio yule KIRANJA wetu? ??Mapema sana asee. Naona leo watu wanachelewa kuwahi kwenye post zao.
Hakunaga roll call?
Nimekuelewa Kaka MpendwaLugha gongano nahisi ndio maana![]()