Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
I shouldn't have made you do this. Sorry maana wengine imani hazitaki![]()
No worries brah!
I shouldn't have made you do this. Sorry maana wengine imani hazitaki![]()
Miili yetu ndo shamba lao!Uwepo wako ni muhimu pia. Ukiondoka utapunguza ratio ya mbu per person![]()
I'm still learning kwenyu wakongweNo worries brah!
Wanavuna kama shamba la bibi


Hiyo jina nimejaribu ku pronounce ilitaka kunipiga KOChumchang Changchum amekutupa...alitakiwa akupe mwongozo
Hahaha aiseeYep yep ngoja nilete Big G na maji kubwa tuveveke
Hiyo jina nimejaribu ku pronounce ilitaka kunipiga KO
Handas ya veve ni kwerekweche bablai. Unaweza kuzama JF alafu ukaanzisha thread ya kuitafuta simu yako imepotea kumbe ndiyo unayotumia saa hiyoHahaha aisee



Hahahah kwa hyo hii kitu ni madawa sio?kama unaweza kosa simu ili hali unayo na unaitumiaHandas ya veve ni kwerekweche bablai. Unaweza kuzama JF alafu ukaanzisha thread ya kuitafuta simu yako imepotea kumbe ndiyo unayotumia saa hiyo![]()
Kwema bibie??Linakupa tongue-tied?
Handas ya veve ni kwerekweche bablai. Unaweza kuzama JF alafu ukaanzisha thread ya kuitafuta simu yako imepotea kumbe ndiyo unayotumia saa hiyo![]()
Hamna kitu ni exaggerations tuHahahah kwa hyo hii kitu ni madawa sio?kama unaweza kosa simu ili hali unayo na unaitumia


Nilishangaa uliposema umeelewa mwanzo ndio maana nikakuambia apia.. Utaijua tu as far as nipo hapa kila nightUtufundishe na sisi hiyo lugha yako kaka
Yeah sijui kichina hichoLinakupa tongue-tied?