Melee
Member
- Mar 11, 2018
- 25
- 38
Ulikuwa unatafuta.....
Natafuta vitu Vingi sana
Ulikuwa unatafuta.....
Ndio jambo la msingiNitajitahidi
Haha nipo bado,,mlinzi kamiliUlipotea ghafla
Ni yentee
Haha nipo bado,,mlinzi kamili
Ulisinzia nini chief?Nipo mkuu,,,naona bibie bbade katoka kidogo
Haha nipo bro,,Wifi ya bure ilikuwa inaleta shida huku nilipoUlisinzia nini chief?
Khantwe usingizi ni kama madawa ya kulevya tu hasa ukiwa na busy day usiku utalewa hatari
Lindo limeisha ngoja tuwahi familia zetuHabari zenu jamani
Ulinzi unaendeleaje mahali hapa?


Tukutane baadae, naaga kama hivyo.