Inapendeza ndugu yangu,,acha tuendelee na lindo hapaNashukuru Mungu. ..mambo yako vizuri
PamojaInapendeza ndugu yangu,,acha tuendelee na lindo hapa
Bado unatafuta?Wakubwa mmeachia Uzi ?? Bado ni saaa 2:12
Ujumbe mzito!
Awe kiranja wa mimi sichangii..Kiranja hapana. ...
Pata uzoefu kwanza.
Karibu Lindoni
Awe kiranja wa mimi sichangii..
Mia za pamba... Takribani mia za.........Ooh kilo???![]()
Wajumbe wa hapa wengi watampigia kura zaSubiri kura za wajumbe..
Awe kiranja wa mimi sichangii..
Hahaha 'ever presence' itanipa tu cheo automatically.. Nipeni tu timetable, mda wa kufungua na kufunga.Subiri kura za wajumbe..
Mia za pamba... Takribani mia za.........
Hahaha 'ever presence' itanipa tu cheo automatically.. Nipeni tu timetable, mda wa kufungua na kufunga.
Wewe uwenda ukafaa..Hahaha 'ever presence' itanipa tu cheo automatically.. Nipeni tu timetable, mda wa kufungua na kufunga.
Nipo Lolkisale huku masaini kwetu kwahiyo hapo EAT ita apply poa kwangu.Time depends uko wapi. ...
EAT 12midnight until 6am.
Nipo Lolkisale huku masaini kwetu kwahiyo hapo EAT ita apply poa kwangu.
Asante boss, i am here to stay.Karibu nyumbani
Nafasi ya ulinzi wa mimi sichangii hakika utakufaaa..Nipo Lolkisale huku masaini kwetu kwahiyo hapo EAT ita apply poa kwangu.