Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Bado unaota ndoto mkuuhuyu mwanamke hawachi ni kama tunaendana hivi ni kama tunanyota nae walkahi
Bado unaota ndoto mkuuhuyu mwanamke hawachi ni kama tunaendana hivi ni kama tunanyota nae walkahi
Mzee baba i did what i was suppose to do usiku ule ule, kuna staff mmoja nlitakiwa nimwambie asije kazini and we are not gonna hire her. It's a tough task mzee ila usiku ule ule nimemtwanga msg na Leo aje achkue barua yake
Sasa mbona umeniita mzim tena?Yes mzim
OK sorry BradhaSasa mbona umeniita mzim tena?
Nnaona hamna kuangaliana usoni tena.Kubebana umekuacha 2018.Mzee baba i did what i was suppose to do usiku ule ule, kuna staff mmoja nlitakiwa nimwambie asije kazini and we are not gonna hire her. It's a tough task mzee ila usiku ule ule nimemtwanga msg na Leo aje achkue barua yake
Me 🤣🤣🤣K
Kwahiyo kwenye uzi huu upo upande wa me au ke 😀😀
Kabisa mkuuNnaona hamna kuangaliana usoni tena.Kubebana umekuacha 2018.
Kabisa mkuuNnaona hamna kuangaliana usoni tena.Kubebana umekuacha 2018.
Me nipo
Naona wengine wamelala
Watakuja tu maana huu uzi una wadau wengi.Naona wengine wamelala