Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,868
- 5,104
Tunashusha kitonga
[emoji57][emoji57][emoji57]
Wakija hao uliowataja na wengineo wafikishie salamu zangu. Waambie kuwa sio tu kwamba nawapenda bali pia nimewamiss vibaya ovyo[emoji7]
Tunakagua lindo kwanza.Habari zenu jamani
Ulinzi unaendeleaje mahali hapa?
Kwema kabsa,habar za siku?Habari zenu jamani
Ulinzi unaendeleaje mahali hapa?
Wakija hao uliowataja na wengineo wafikishie salamu zangu. Waambie kuwa sio tu kwamba nawapenda bali pia nimewamiss vibaya ovyo[emoji7]