Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,244
- 55,830
Ha ha ha haDaah ratiba zilikuwa nyingi.halafu nimefanya uzembe tu wakati nilijua kabisa lazima itakuwa hivi! Aargh
Ha ha ha haDaah ratiba zilikuwa nyingi.halafu nimefanya uzembe tu wakati nilijua kabisa lazima itakuwa hivi! Aargh
Hahahaha umesahau moja bhanaBasi unataka umpitie bibi nyau mkawange![]()
Kumbeeee, asante ngoja nijaribuWanasema ukiwaza mida kama hii na kupata jibu basi hakuna kitakacho kushinda kuanzia utakapo amka hadi kulala tena!!
Unamfundisha mwenzako tabia mbayaInategemea,mie napiga wine hapa,pua zote ni kavu hakuna hata tone la maji
Share nasi tukusaidie mpendwaYaani hapa usingizi umegoma yaani kila nikijaribu vitu vinagoma ..nimemaliza album 5 bado kuzito
ha ha ha ha karibu tuendeleze kinywaji mkuuUnamfundisha mwenzako tabia mbaya
Watafufuka na masihah.Wanafufuka sa ngapi
Mwenzenu Mimi sijui mrembo gani, mpaka najishangaa hayo mambo siwezagiha ha ha ha karibu tuendeleze kinywaji mkuu
Utazoea tu ukikutana na wanaojua kuzitumiaMwenzenu Mimi sijui mrembo gani, mpaka najishangaa hayo mambo siwezagi
Tayari. Majira yanabadilikaMuda bado waungwana ....
HahahahahUtazoea tu ukikutana na wanaojua kuzitumia
Karibu duniani mpendwa.....Hahahahah