Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Wanafufuka sa ngapiWatu tayari washakufa vichwani kwa muda
Wanafufuka sa ngapiWatu tayari washakufa vichwani kwa muda
Usingizi na lindo mbali mbali..Ndio maana mlifungua geti mapema, kumbe mlikuwa na usingizi!![]()
Wanafufuka sa ngapi
Hujanitafuta lkn.mbona nipoNdio kama hivi washaanza.
Lakini nilikumiss Inna sijakuona kama siku 2
Nimekutafta bana leo nikaguta getto kuna bonge ya komeo jipya na kufuli lakeHujanitafuta lkn.mbona nipo
Mlinzi mkuu ndo cheo kinachokufaa, husinzii hata upo makiniHalafu unasema hiiiiiiiiiiiii!!
Mlinzi mkuu ndo cheo kinachokufaa, husinzii hata upo makini
Nimekutafta bana leo nikaguta getto kuna bonge ya komeo jipya na kufuli lake


Hiko cheo na mlinzi mkuu ukabidhiwe tuNipeni tu hicho cheo, hapa hadi saa 12 mechi yangu ya NBA imalizike ndio nitalala
Hiko cheo na mlinzi mkuu ukabidhiwe tu
Usingizi mtamu jamani nalala.