Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Ndo mkeo?[emoji23]
Umekosa vyoteKwa nchi hiyo ni mawili ama unajiandaa kwenda kupiga chabo au kupiga kabali
Duh! Hii ndo kujitungia paper na kulifanya mwenyeweWe taja timu zako zote kisha mimi nitachambua nizitakazo
Basi unataka umpitie bibi nyau mkawange[emoji23][emoji23]Umekosa vyote
Acha kurukaruka...twende kaziDuh! Hii ndo kujitungia paper na kulifanya mwenyewe
Basi twende, naona tuko timu moja[emoji23][emoji23]Acha kurukaruka...twende kazi
Njoo upate Gahawa kidogo,Laleni mnatupigia kelele
Hawa binadamu nimewamisNakutakia mafanikio huko uendako naomba umsalimie kipenzi chako jje's na shemeji yako Nleterewa Nganengo bila kumsahau jirani yako Neybright na kipenzi chake Iceman 3D
Timu moja ipi?Basi twende, naona tuko timu moja[emoji23][emoji23]
Yaani, sijui wapepotelea wapiHawa binadamu nimewamis
Kutesa kwa zamu. Awamu yetu.Hawa binadamu nimewamis
Leo saa yako iko vizuri, hongera
Karibu sanaNipo kuwasalimu
Mapono wenzangu mlale salama
Wanalindo..mlinde salama
Sasa nimegundua kwanini SHIMBA YA BUYENZE leo amesusa kuja huku[emoji848]Nipo kuwasalimu
Mapono wenzangu mlale salama
Wanalindo..mlinde salama
Kwa nini?Sasa nimegundua kwanini SHIMBA YA BUYENZE leo amesusa kuja huku[emoji848]