Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
Pia nasikia ndio muda wa malaika mtoa roho kuzungukia ICUMuda wa usiku mnene ndio muda mzuri wa kutafakari kwa wale GT
Pia nasikia ndio muda wa malaika mtoa roho kuzungukia ICUMuda wa usiku mnene ndio muda mzuri wa kutafakari kwa wale GT
Saa 11 alfajiri ndio usingizi unakuja sasa !!Hata mimi yani
Mida hii huwezi nikuta bed.nipo sebuleni nacheki movies
Pia nasikia ndio muda wa malaika mtoa roho kuzungukia ICU


Huyu jamaa anafanya watu wakose usingizi kwa kutafuta plan B!!
Pop , hip hop, rap song usiku huu lazima usingizi ukimbie!!Nasikiliza rnb ,pop ,hip hop/rap songs
Ha ha ha ha haPia nasikia ndio muda wa malaika mtoa roho kuzungukia ICU
Pop , hip hop, rap song usiku huu lazima usingizi ukimbie!!
Yule anaga muda maalum saa hii na yeye unakuta nakoroma huko!!Pia nasikia ndio muda wa malaika mtoa roho kuzungukia ICU
Safi sana,nilikua nazurura mitaa mingine kucheki cheki usalamabado tupo
Daah ratiba zilikuwa nyingi.halafu nimefanya uzembe tu wakati nilijua kabisa lazima itakuwa hivi! AarghKwa nini hujaenda kwa mangi?
Aisee zile za slowly ndio time yake hii!!Zile za taratibu ..sio jadi yangu sipendelei sana that why nikachagua rnb iwe replacement
MkuuYule anaga muda maalum saa hii na yeye unakuta nakoroma huko!!
Hii ndio shida sasaSaa 11 alfajiri ndio usingizi unakuja sasa !!
Aisee zile za slowly ndio time yake hii!!
Acha hizi story za kufa kufa mkuu ghhaaaii!!Mkuu
Inasemekana wagonjwa wengi hufa mida hii
Na ww usikute hili ndio linalokukosesha usingiziNasoma maoni yenu wadau,tuko pamoja
Hahahaha, lipi hilo mkuuNa ww usikute hili ndio linalokukosesha usingizi
Hahahaha,kumbe ni SAA Tisa .SAA yangu inaniambia 02:3303:32, leo kimya kimya, wengine wanahofia kuchelewa kazini asubuhi ya jumatatu