Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Kulala si muhimu kwa sasa,kwani ipo siku ya kulala 'forever'
Leo usingizi sijui umeenda wapi ..yaani ata sielewi sio kawaida yanguu
Kulala si muhimu kwa sasa,kwani ipo siku ya kulala 'forever'
Ni kweli,ila kama wewe si mtumiaji wa vyombo, usitumieThat might be a temporary measure for minutes. najua kwenye pua kuna temerature ya chini inayoruhusu virus to thrive. They do not grow in hot temperatures. May be unaweza rise that temperature by drinking hot drinks, bia moto , wine moto etc and those that generate heat, As soon as you stop, temperature drops again and they wake up!
Album 5 !!?
Hii sisi tunaona kawaida !!Leo usingizi sijui umeenda wapi ..yaani ata sielewi sio kawaida yanguu
inawezekana unawaza vitu vingiLeo usingizi sijui umeenda wapi ..yaani ata sielewi sio kawaida yanguu
Mkuu nikichoma godoro nitalala wapiha ha ha ha choma godoro kunguni wote watakufa
ha ha ha ha bora ulale chini kuliko waendelee kukung'ataMkuu nikichoma godoro nitalala wapi
inawezekana unawaza vitu vingi
nimeplay In my prayer room ina maasa 3 ndio naimalizia hapa!!Yaah i mean mziki
Hii sisi tunaona kawaida !!
Mziki utasumbua kichwa/ubongo....bora utafakari tu au upige vyomboNgoja nikomae na mziki nafikiri kichwa itakaaa sawa
nimeplay In my prayer room ina maasa 3 ndio naimalizia hapa!!
Mziki utasumbua kichwa/ubongo....bora utafakari tu au upige vyombo
Magu sio mchezo!!Mimi mkuu sio kawaida maana nishazoea sa 6 kulala sa 5 yaani adi najishangaa ..apa nahisi asubuhi itafika
PowaVyombo sio mpenzi sana ..huwa natumia just for funny
Hata mimi yaniBinafsi nipo tuu sio mawazo ni kawaida yangu kutokuwa na usingizi mida hii sasa sijui wewe ni nini shida ebu tuambizane!!
Hivi ngoja kwanza unasikiliza nyimbo za aina gani!!Me nataka ongeza album nyingine aisee ..nayo iyo iki fail asubuhi naweza kukuona
Hivi ngoja kwanza unasikiliza nyimbo za aina gani!!
Huyu jamaa anafanya watu wakose usingizi kwa kutafuta plan B!!Nimechekamkuu ahaha huyu tushamzoea