Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,264
- 55,862
Piga vyombo,huwezi kukaa lindo kinywa kikiwa wazi tu.Bora hukuView attachment 914613
Piga vyombo,huwezi kukaa lindo kinywa kikiwa wazi tu.Bora hukuView attachment 914613
Mkuu kwa kupiga vyombo mida ya lindo si unaweza kata moto mapemaKula vyombo mkuu
Kabisa mkuuPiga vyombo,huwezi kukaa lindo kinywa kikiwa wazi tu.
Hahahaha, maramamae walahi,kuogopa kukatwa mshaharaWakichelewa kusaini inabidi watoe maelezo...
Hapana,labda uwe kinda ktk lindoMkuu kwa kupiga vyombo mida ya lindo si unaweza kata moto mapema
Ni kweli mkuu,wengine tuko lindo kwa sababu tuna mambo mengi kichwani, kulala hakulaliki inabidi kuumiza kichwa kupata suluhisho huku na mzinga pembeniWakati wao wamelala wewe unawatafakari muda huu wa lindo ,huku unapata vyombo ,ukifika asubuhi una ratiba na mipango yote
Hakimbii mtu,ukiona mtu amekimbia lindo jua anatumia maji kwenye lindoKabisa mkuu
Japo hua mnakimbia mapema mno
Tuko pamoja mkuu ktk hili ,watu hawajui,wenyewe washalala SAA hzNi kweli mkuu,wengine tuko lindo kwa sababu tuna mambo mengi kichwani, kulala hakulaliki inabidi kuumiza kichwa kupata suluhisho huku na mzinga pembeni
Hahaha sawa mkuuHakimbii mtu,ukiona mtu amekimbia lindo jua anatumia maji kwenye lindo
Ha ha ha ha hapo ndipo tatizo lilipo,unakuta anategemea chanzo kimoja cha mapatoHahahaha, maramamae walahi,kuogopa kukatwa mshahara
Suala la kulala kuna changamoto,kuna kutetea ndoa mkuuTuko pamoja mkuu ktk hili ,watu hawajui,wenyewe washalala SAA hz
Lindo bila vyupa lazima ukimbieWakuu mi ngoja nijifanye kama nalala nikipitiliza nyie endelezeni lindo
Salehek
Mshahara wenyewe hauzidi $ 250 ,chanzo kingine labda vicobaHa ha ha ha hapo ndipo tatizo lilipo,unakuta anategemea chanzo kimoja cha mapato
Naam nimekuelewaSuala la kulala kuna changamoto,kuna kutetea ndoa mkuu
bado tupo01:16 ,pekee yangu lindoni