Kamwene.Paradeeee! Foleni,cabarofu.Hesabu namba.
Na wewe si mmoja wa wenyewe.Mkuu hili jukwaa ni letu sote, wasikukatishe tamaa.
Mimi mwenyewe kuna kipindi nilitaka kulikimbia ila ikabidi nikae tu hivyo hivyo.
MnogeKamwene.
Hata ukinipa pasiwedi bado itakataa?Sifa moja wapo ya iOS devices ni upekee, kushare ni mwiko..
Hatufanyi michezo hiyo huku,
Hata ukinipa pasiwedi bado itakataa?
Ipakilu ndauli?Mnoge
Basi itabidi nikate kidole nibaki nacho. Mengine mtajuana huko na Yna2 wakoHa hah
Hii ina term moja tu ni finger print ku-unlock.
Kesho weekend ujueLindo linaanza kunishinda..usingizi wanyemelea
Hata nikilala jua tu Niko nawewe mwanzo mwisho
You need to upgrade to window 10Yatch yatch.. Usingiz umekwisha ghafla.. Mods amsha ladies tafadhali wajumuike nasi
Hahahaha, angalia Mr nani yule asikuone ,nisije kutekwaKusema kweli nilikumiss sana, naomba nikuchumu kidogo![]()
HahahahaNaomba umdhibiti kabla hajakubuhu