ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,369
na kwako je bado unahisi kama upo?Nahisi upo...
na kwako je bado unahisi kama upo?Nahisi upo...
Kaniambia nipona kwako je bado unahisi kama upo?
Huu uzi umeshanishinda huu. Nabwaga manyanga rasmi [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Apate kuiona SHIMBA YA BUYENZE
Huu uzi umeshanishinda huu. Nabwaga manyanga rasmi [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Eti linanitegemea [emoji16][emoji16][emoji16]. Jukwaa lina wenyewe hili bwana ...Mkuu usifanye hivyo, jukwaa linakutegemea sana.
Eti linanitegemea [emoji16][emoji16][emoji16]. Jukwaa lina wenyewe hili bwana ...
Hiyo saladi uliyotuandalia iko wapi mbona siioni?[emoji134]Leta ndimu pilipili kitunguu caroti hoho tutengeneze saladi katika usiku huu wa watu wasio lala.