Kusema kweli nilikumiss sana, naomba nikuchumu kidogo[emoji8]Week end, mshajitwalia vimwana
Vipi umeshafika au baiskeli yako imekutupa mtaroni baada ya kuona unaichosha na pombe zako![emoji16]Jamani mi ndo nishakunywa nataka niende gheto, maombi yenu tafadhali
Tuko wangapi?[emoji848] Tulizananshachukua mmoja hapo natafuta wengine niondoke nao
Hoja ipi?NaUnGa mKoNo hOjA....
Naomba umdhibiti kabla hajakubuhuAseee,we jamaa ni fisadi na mbadhilifu ,unataka kujilimbikizia vimwana wote
Anza weweLeteni hadithi lindo linoge
Unaogopa? Tumeamka njooNdo mmeshalala wote ? daah!!!!
Mwambie huyondio kwanza kunakucha
Hauingii wapi?[emoji16]Mbona usiku hauingiii
Mimi nipo nawewe Leo mwanzo mwisho[/QUOT]
Mambo Yna
Kokoriko arushamko wapi?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2321][emoji2321][emoji2321]Mimi nipo nawewe Leo mwanzo mwisho
Hauingii wapi?[emoji16]
Hili swali mbona kama lina ukakasi? Au ni mate yangu tu yananidanganya? [emoji16][emoji16][emoji16]Hauingii wapi?[emoji16]
Nipo nawewe pia..nishikilie vizuri nisikuponyoke[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2321][emoji2321][emoji2321]
Mbona usiku hauingiii
Hauingii wapi?[emoji16]
Bila shaka sasa mate yako yatakuwa sawaHili swali mbona kama lina ukakasi? Au ni mate yangu tu yananidanganya? [emoji16][emoji16][emoji16]