capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,268
Prayers should go along with making right choices.
Ahahahah [emoji14] [emoji14] poleni mkuu... Ebu mmrudishe uyo car7 wenu
[emoji23] mara ya kwanza kujipikia sikua mambo ya kuosha mcheleKwa msosi nilio pika leo, acha nioe tu
[emoji23] mara ya kwanza kujipikia sikua mambo ya kuosha mchele
Niliweka maji jikoni yakachemka nikaweka mafuta then mchele
Niliivisha ugali wenye langi ya pilau
[emoji23] mara ya kwanza kujipikia sikua mambo ya kuosha mchele
Niliweka maji jikoni yakachemka nikaweka mafuta then mchele
Niliivisha ugali wenye langi ya pilau
[emoji16]ni ya kuyaacha kabisa hayoZamani walisema maswala ya Jikoni tuwaachie wenyewe, leo yamenikuta Bro.
Nawasalimia wakuu
Mpaka leo hua sipiki[emoji16]teh teh
MarahAba hujambo ?Nawasalimia wakuu
Asante Kipenzi.....wasalimie huko Uliko.
MarahAba hujambo ?
Mpaka leo hua sipiki[emoji16]
Mpaka leo hua sipiki[emoji16]