Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Ndio kesho ni weekendYaani halafu usingizi ndiyo umekata!! Nataman kesho ingekua weekend
Ndio kesho ni weekendYaani halafu usingizi ndiyo umekata!! Nataman kesho ingekua weekend
Here we are!Ladies & gentlemen.....
Nimezipenda sana hizi rulesUmenikumbusha Rules za The Transporter 1 & 2 aliifanya Jason Statham.
- "Never change the deal"
- "No names"
- "Never open the package"
- "Never make a promise you can't keep"

Swahiba bado uko ndotoni au umeshatoka?Ngoja niwashe wakwangu unisindikize ndotoni, kwa maana naona bawaba zimezidiwa na uzito wa mlango, nami sina budi kuziruhusu zijifunge.
Alamsiki.

Nimezipenda sana hizi rules![]()
Sikuwahi kujua kama una busara kiasi hikiMkuu. Nothing serious lakini unafikiri ni sawa kumwanika huyo binti na namba yake kabisa? Hujafanya vizuri kamanda kama unayosema ni ya kweli. Alikupa raha kwa upendo na inavyoonekana kwa sasa ana mtu mwingine ndiyo maana anakuona kama unataka tu kumtibulia. Yote kwa yote hukuwa na haki ya kuweka meseji zake hapa na namba zake. Tukumbuke tu dunia ni hii hii na maisha ni haya haya. Unayemdhalilisha leo kumbe ndiye atakayekusaidia kesho na kesho kutwa. Ningekuwa wewe ningezifuta hizo screenshots na kuwaomba wote waliozikwoti kuzifuta pia...Ubinadamu![]()



Here we are!
Nimezipenda sana hizi rules![]()
Fungulia na popy kabisa....abiria chunga mzigo wako.Nifunge na geti kabisa au mnasemaje?View attachment 909988
Wow! Nleterewa Nganengo naomba kila ukilala uwe unaikumbatia hii picha yangu!![]()
Natoa wito. Thad atafutwe kwa udi na uvumba...View attachment 909948
Huo "wito" kwa fedha za Kitanzania itakua shilingi ngapi, nikuletee Thad sasa hivi?
Asante kwa kunijali mnyantuzu wangu, ninakuandalia zawadi nono (Najua kipenda roho chako)Laki moja mkuu![]()
Ila hazitekelezeki...
Ila hazitekelezeki...
Nilikumiss dearOooh sweetheart nambie!
