JamiiForums Usiku wa manane
Mda xana almost mwaka umepita tukala raha weeee then nkasepa xaxa katikat ya August tumeonana lakn ndo hvyo anahc bado nko vile vile kwamba ntakul n kusepa ndo povu Kama hilo
Ahaah sasa nimekulewa.
Ningekua Mchungaji ningekuambia uikimbie zinaa.
Ningekua mzazi wako ningekwambia umekua uoe sasa.
Ila kwavile mimi ni mlinzi mwenzio, nakushauri nenda pande za Mashariki ya mbali na uhakikishe geti liko salama.
 
Mda xana almost mwaka umepita tukala raha weeee then nkasepa xaxa katikat ya August tumeonana lakn ndo hvyo anahc bado nko vile vile kwamba ntakul n kusepa ndo povu Kama hilo
Mkuu. Nothing serious lakini unafikiri ni sawa kumwanika huyo binti na namba yake kabisa? Hujafanya vizuri kamanda kama unayosema ni ya kweli. Alikupa raha kwa upendo na inavyoonekana kwa sasa ana mtu mwingine ndiyo maana anakuona kama unataka tu kumtibulia. Yote kwa yote hukuwa na haki ya kuweka meseji zake hapa na namba zake. Tukumbuke tu dunia ni hii hii na maisha ni haya haya. Unayemdhalilisha leo kumbe ndiye atakayekusaidia kesho na kesho kutwa. Ningekuwa wewe ningezifuta hizo screenshots na kuwaomba wote waliozikwoti kuzifuta pia...Ubinadamu
 
Umesema vyema Mzee.
 
Back
Top Bottom