Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Akikujibu unitagHivi ana transporter zingine?
Akikujibu unitagHivi ana transporter zingine?
Hivi yule jamaa alizivunja?
Kheee kumbe? Niliionaga Nengo miaka ile tunacheza wote kombolela....hata siikumbuki vizuriAmezivunja zote hizo rules!
Kumbe bado uko macho![]()
Jamaa nilikuwa nampenda sanaZote kavunja na ndipo muvi huwa inanoga.
Umeanza lini tabia ya kupiga chabo?Naogopa kuingia ndani...nachungulia kwa dirishani
Hivi ana transporter zingine?
Uwe na amani zote kipenziUsiniogofye basii
Umeanza lini tabia ya kupiga chabo?
Kheee kumbe? Niliionaga Nengo miaka ile tunacheza wote kombolela....hata siikumbuki vizuri
Jana usiku...hukuwepo...wakanifundisha.
Ndo kusema hujaona uzi wa kaka auJana usiku...hukuwepo...wakanifundisha.
Iko The Transporter 3 aliifanya na Robert Knepper (T-Bag wa kwenye Prison Break), ila mimi sikuipenda kama hizi 2 za mwanzo.
Naogopa kuingia ndani...nachungulia kwa dirishani
Ha haa haa Nengo! Ila Jason Statham huwa hanichoshi!
Halafu nikumbushe jina la simbo unaimbwa "ichimana jipatanilije.... Nabhushobhola...."


Hapo umeniacha kwenye mataaHivi yule jamaa alizivunja?
Naogopa kuingia ndani...nachungulia kwa dirishani
Nani huyo aliyekufundisha hiyo tabia chafu?![]()