Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Mwanzo nilifikiri utani lakini inavyoonekana ni kitu siriazi kidogo. Maisha haya hayana rubani hayaUmesema vyema Mzee.
Mwanzo nilifikiri utani lakini inavyoonekana ni kitu siriazi kidogo. Maisha haya hayana rubani hayaUmesema vyema Mzee.
Njoo nikuwekee chip kama ya Mo.
Bure lakini
Ingekua heri kama wote tungekua na mawazo na akili sawa, binadamu tunatofautiana sana mkuu.Huu n usiku wa manane ubakie kuwa ucku wa manane.
Naanzaje kukufanyia kwa consideration?
Leo naona bustani haina maua kabisa, sijui nani aliwahi kuyachuma karibu yote, naona limebaki moja na hilo naona dalili ya kuchumwa muda sio mrefu.
Ni kweli Mzee mimi bado nachukulia kama utani, tatizo binadamu tunatafakuri tofauti.Mwanzo nilifikiri utani lakini inavyoonekana ni kitu siriazi kidogo. Maisha haya hayana rubani haya
Nachagua wapi ukiweke maana sitaki wakikata mkono au mguu kipotee...
Unajua njia inayotumika kukuwekea hiyo chip lakini?Bure lakini
Kama ni utani hakuna neno...Tafakuri tofauti ndiyo zinatukamilisha hapa duniani...Reading between the lines...Ni kweli Mzee mimi bado nachukulia kama utani, tatizo binadamu tunatafakuri tofauti.
Aiiiii...Walinzi tupige kura eneo zuri la kukiweka...Nachagua wapi ukiweke maana sitaki wakikata mkono au mguu kipotee...
Utachagua mwenyewe, na ukiridhika na huduma wewe mwenyewe utajua jinsi ya kunifikiria, ila siyo kwa hela.
Unajua njia inayotumika kukuwekea hiyo chip lakini?
Aisee, shosti wako Thad sijui ametekewa pande gani, kuna dau nono huku limetangazwa tafadhali niasist nikilipata hakika na wewe utakua sehemu mgao.Nalichuma mwenyewe
Nitakupa....
Aiiiii...Walinzi tupige kura eneo zuri la kukiweka...
Usikimbie bwana. Nafuta kauli yanguMbio................