Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mna raha?
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mna raha?
Don't take it serious
Umekapenda? Halafu kilemba kwa mtindo wako...Wow![emoji8]
Hakuna mgunduzi au tajiri mkubwa duniani ambaye hakutumia/hatumii huu mmea, wewe hujiulizi kwanini Canada, na U.S.A wameamua kuhalalisha huo mmea.Hizo bange zitakuua maana kila nikikukataza kuzivuta hunielewi
Hii ni ya Zamda
View attachment 902870
Umekimbia lindo enheKaribu chamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bahati yako, leo ningejua swaga zako kwa warembo
I don't think soSometimes it can be serious. You never know.....
Hela yako hiyo njoo uchukue [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi mwenyewe ni Zamda
Basi njoo tuondoke wote[emoji23]Macho mazito kweli ila nitasubiri mpaka Thad aondoke nami ndiyo naondokaView attachment 902874
Tukae kae kidogo...Basi njoo tuondoke wote[emoji23]
Wamependeza na malemba yao.
Mambo yetu....
Kumbe ndio maana na wewe umegundua supu ya ulimi wa mamba![emoji848]Hakuna mgunduzi au tajiri mkubwa duniani ambaye hakutumia/hatumii huu mmea, wewe hujiulizi kwanini Canada, na U.S.A wameamua kuhalalisha huo mmea.
Kuna siri kubwa sana iliyofichwa ndani ya huo mmea.
Bangi na iheshimiwe na watu wote
(Bangi siachi)
Kazuri kwa kweli!Umekapenda? Halafu kilemba kwa mtindo wako...