JamiiForums Usiku wa manane
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Yaan tangu niamke najikuta kila kitu nikishikacho naona km hakifai. nikishika kitabu nafunua na kufunika pasipo hata kusoma neno au angalau mstari mmoja, nikishika hata simu naona km inaboa. Mwishowe nimeamua kuingia JF tuu had kukuche
 
Back
Top Bottom