Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,403
- 31,659
Wapi hiko, nielekeze niifateHela yako hiyo njoo uchukue [emoji16][emoji16][emoji16]
Wapi hiko, nielekeze niifateHela yako hiyo njoo uchukue [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii kama ile move ya Danzil Washington..Viola Davis ukimkorofisha ni shida !!View attachment 902877
Uyui TaboraWapi hiko, nielekeze niifate
[emoji23][emoji23][emoji23] tena umenikumbusha, leo sijui yuko wapi?Tukae kae kidogo...
Leo uko free yule kijana wa Mobutu hayupo. Angekuwepo angekuwa keshakuchimba mkwara. We jiachie tu [emoji16][emoji16][emoji16]
hili chama hapana mkuu, kwa sasa naona wewe ndio unashikilia nafasi ya ukatibu hapaKaribu chamani
Nimekukumbusha? Unamsahauje Mr. wako bana. Akija hapa itakuwa kivumbi[emoji23][emoji23][emoji23] tena umenikumbusha, leo sijui yuko wapi?
Nitumie nauli nijeUyui Tabora
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe ndio maana na wewe umegundua supu ya ulimi wa mamba![emoji848]
Niletee na mimi nivute pengine naweza kugundua dawa ya kifo
Chukua boda boda nitalipa ukifikaNitumie nauli nije
hapo kwenye lotion panahitaji marekebisho maana wale wa mafuta ya mgando hatujatendewa haki
Eeeh mimi ndio katibu mwenezi[emoji23]hili chama hapana mkuu, kwa sasa naona wewe ndio unashikilia nafasi ya ukatibu hapa
Yule mnyantuzu bandia sio mr wanguNimekukumbusha? Unamsahauje Mr. wako bana. Akija hapa itakuwa kivumbi
Naunga mkono hoja.hapo kwenye lotion panahitaji marekebisho maana wale wa mafuta ya mgando hatujatendewa haki
Amesema hana mafuta tuma hela tuko petrol station hapaChukua boda boda nitalipa ukifika
what a smile !
Umeanza lini kupaka mafuta ya mgando? Wewe si unapakaga mafuta ya kula tena siku ya sikukuu tu?[emoji848]Naunga mkono hoja.