JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] basi majimaji war itarejea, ila mwenye silaha ya moto lazima tu atashinda maana IBM hata THAD haioni ndani
Kwa hizi tambo nafikiri Umoja wa Mataifa unatakiwa uwe makini, ili kulinda raia wasidhurike na hiyo vita.

Waswahili wanasema "Mafahali wawili wakigombana nyasi ndo zinaumia"
 
Utahimili nguvu toka kitu hiki
[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20181018_144202.jpeg
 
We acha tu Mzee, hapa hata Umoja wa mataifa hawana haja ya kuingilia maana hata ingekuaje USA hawezi mpiga North Korea naana inajulikana kabisa North Korea yote itageuka majivu
Kwa hizi tambo nafikiri Umoja wa Mataifa unatakiwa uwe makini, ili kulinda raia wasidhurike na hiyo vita.

Waswahili wanasema "Mafahali wawili wakigombana nyasi ndo zinaumia"
 
Back
Top Bottom