Hili swalo ataljibu mtuchake mwenyewe.....
Hatukuogopi ila tunaogopa JailNyie wanyantuzu ndio kusema mnaniogopa au?![]()
Naona aibu....Sawa, mtaje sasa
Jela tena? Kwanini mfungwe?Hatukuogopi ila tunaogopa Jail
Woga wako ndio umaskini wakoNaona aibu....
Acha tu niwe masikini....Woga wako ndio umaskini wako
Nipo majukumu yalinizidi.Nimekumiss zaidi mamy!
Kwema kabisa hofu kwako kipenzi![]()
HayaAcha tu niwe masikini....
Ila daaah .....Haya
Hongera kwa majukumu. Vipi yalikuwa majukumu ya kujenga taifa letu lililodumaa au haya majukumu yetu ya usiku?Nipo majukumu yalinizidi.
Nimekuwa kama mgeni humu sasa...
Nitajitahidi sasa kuwepo




hakuna hata vivuli vya kike na vya kiumeWewe mbona hujaweka dp ya kiume?Wadada wekeni dp tuwatongoze maana unaeza umvagaa ukatongoza mkaka mwenziohakuna hata vivuli vya kike na vya kiume
Asante sana kwa kunipa moyo wako,yaani kunifanya nizidi kukaza na kuwa imara... Kuwa imara Zurri kuwa imara....Mwache ajaribu bahati yake yamkini akapata
Mimi najenga Taifa....usiku ni kulala tu kama siko Lindoni.Hongera kwa majukumu. Vipi yalikuwa majukumu ya kujenga taifa letu lililodumaa au haya majukumu yetu ya usiku?![]()

