Unataka kutuaminisha nini hapa ?Mimi najenga Taifa....usiku ni kulala tu kama siko Lindoni.
Sijaanza kutumika usiku bad[emoji85][emoji85]
Unataka kutuaminisha nini hapa ?Mimi najenga Taifa....usiku ni kulala tu kama siko Lindoni.
Sijaanza kutumika usiku bad[emoji85][emoji85]
Tawile ....Ila tuache masihara Dionize N wewe ni 'mhendisam'
Unataka kutuaminisha nini hapa ?
Hongera sana kwa kutumia muda wako vyema maana utakapoanza kutumika usiku hutaweza kulala wala kulinda. Si unamuona Inna keshawahi kwenye jukumu[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi najenga Taifa....usiku ni kulala tu kama siko Lindoni.
Sijaanza kutumika usiku bad[emoji85][emoji85]
Imetoka moyoni au mdomoniTawile ....
Hii imekurupuka tu,hamad hii hapa mdomoni ....Imetoka moyoni au mdomoni
Mnyantuzu ushaanza maneno yako! [emoji23][emoji23][emoji23]Kama wewe tu ulivyo gorgeous haki ya nani.... Mungu ndo anaejua
Jela tena? Kwanini mfungwe?
Mimi hua nachimba dawa kila baada ya wiki moja.Karibu sana @Nleterewa Nganego, hivi ndo umekuja kulinda au umeamka kuchimba dawa?[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua tuHii imekurupuka tu,hamad hii hapa mdomoni ....
Ndio maana huwa nakuenda .....[emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua tu
Pole sana kwa kuota ndoto hayo ndio madhara ya kulala bila kuchimba dawa. Usirudie tenaMimi hua nachimba dawa kila baada ya wiki moja.
Kuna ndoto ya ajabu sana nimeota ndio imenikurupusha kutoka kwenye usingizi wangu mtamu uliokua ukinakshiwa na mngurumo mujarabu.
Unamaanisha au unatania?Ndio maana huwa nakuenda .....
Nguvu za ugali wa mhogo kutoka kwa wasukuma wawili sio utani
Aisee, kumbe.Pole sana kwa kuota ndoto hayo ndio madhara ya kulala bila kuchimba dawa. Usirudie tena
Mnyantuzu ushaanza maneno yako! [emoji23][emoji23][emoji23]
Namaanisha. Huamini au hutaki ?Unamaanisha au unatania?