Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Tatizo lako wewe ni ubishi kama watu wa mwisho wa reli na ni mtomaso.Aisee, kumbe.
Ntahakikisha narudia tena ili nipime kama ulilonishauri ni la kweli au la.
Tatizo lako wewe ni ubishi kama watu wa mwisho wa reli na ni mtomaso.Aisee, kumbe.
Ntahakikisha narudia tena ili nipime kama ulilonishauri ni la kweli au la.
Halafu si unajua mimi sina utani na wewe kabisa.....Unamaanisha au unatania?
Kutaka nataka ila siaminiNamaanisha. Huamini au hutaki ?
Sasa kutokuamini ni tatizo lako mwenyewe,ila usipo amini jua kabisa unajidhulumu mwenyewe .....Kutaka nataka ila siamini
Aisee, wale ndugu zako hawakukosea kusema "Nyani haoni k*nd*le".Tatizo lako wewe ni ubishi kama watu wa mwisho wa reli na ni mtomaso.
Aisee, wale ndugu zako hawakukosea kusema "Nyani haoni k*nd*le".
Umesahau haya yote nimejifunza kutoka kwako.


Wahenga wangu hawajawahi kukosea ila kwa hilo umenisingizia.Unataka tuusikilize nasisi tukusindikize kutokulala eeehh?Breaking My Heart
Michael Learns to Rock
I'm on the floor
Counting one minute more
No one to break the silence
Staring into the night
All alone but that's alright
It's the feeling deep inside I don't like
There is no excuse my friend
For breaking my heart
Breaking my heart again
This is where our journey ends
Your breaking my heart again
Here in my bed
Counting the words you've said
They linger in the shadows
Coming home late at night
Drunk again…
Huu wimbo nikiianzaga kuusikiliza huwa silali najuta kuusikiliza usiku huu!



Ni bonge la wimbo kila niwapo down huwa naupiga mnoUnataka tuusikilize nasisi tukusindikize kutokulala eeehh?
Acha niusikilize nikupe jibu...ila ukiona kimya jua nimenogewa nikasinzia.![]()
Ni bora kusingiziwa ukweli kuliko kusingiziwa uongo.Wahenga wangu hawajawahi kukosea ila kwa hilo umenisingizia.
Ni bonge la wimbo kila niwapo down huwa naupiga mno
Tuachane na hayo!Ni bora kusingiziwa ukweli kuliko kusingiziwa uongo.
Aisee, najuta kumlenga na manati mwl. wangu wa kizungu.Breaking My Heart
Michael Learns to Rock
I'm on the floor
Counting one minute more
No one to break the silence
Staring into the night
All alone but that's alright
It's the feeling deep inside I don't like
There is no excuse my friend
For breaking my heart
Breaking my heart again
This is where our journey ends
Your breaking my heart again
Here in my bed
Counting the words you've said
They linger in the shadows
Coming home late at night
Drunk again…
Huu wimbo nikiianzaga kuusikiliza huwa silali najuta kuusikiliza usiku huu!
Kumbe ugali wa mhogo, mtanikuta nimeshiba ugali wa mtama na kichuri






basi majimaji war itarejea, ila mwenye silaha ya moto lazima tu atashinda maana IBM hata THAD haioni ndaniBora ulimlenga tu maana ungeumizwa na haya maneno kama mimiAisee, najuta kumlenga na manati mwl. wangu wa kizungu.


MLTR
Breaking My Heart
Michael Learns to Rock
I'm on the floor
Counting one minute more
No one to break the silence
Staring into the night
All alone but that's alright
It's the feeling deep inside I don't like
There is no excuse my friend
For breaking my heart
Breaking my heart again
This is where our journey ends
Your breaking my heart again
Here in my bed
Counting the words you've said
They linger in the shadows
Coming home late at night
Drunk again…
Huu wimbo nikiianzaga kuusikiliza huwa silali najuta kuusikiliza usiku huu!
Nausikiliza....nikusindikize pamoja
basi majimaji war itarejea, ila mwenye silaha ya moto lazima tu atashinda maana IBM hata THAD haioni ndani



Hatua ya 1- Mkamate mambaTuachane na hayo!
Hivi ulisema supu ya ulimi wa mamba inaandaliwaje? Nimepata wageni wa muhimu nataka kesho niwaandalie