hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,622
- 74,007
sure hahaa .. let's seeahaa wap
sure hahaa .. let's seeahaa wap
Yaani zile kitu nimeshindwa kupata taste kama zile kwingine kote.
Na hasa jinsi alivyounga na story ya Carlos, jamaa alitisha sana. Na ukiangalia movie zile baada ya kusoma novel unaelewa sana. Make novel ziko so detailed.
ndo unaanza kusoma vile venye story zinazokuvutia ...
Kipenzi umesahau kuwa sauti imenikauka baada ya kukuimbia weekend yote?![]()
Napenda sana kusoma ila nahisi vitabu havipendi nivisomeUnapenda kusoma Vitabu ?
Hahaa usinivunje mbavu " wew hata sikuogopi mizinga haujui kupiga kabisa yaani " but maybe wingi wa notifications nikashindwa kuiona "...
Wanafanyaje Chief? Kibaba baba?Shiiiiiiii kuna watu hawajashusha pazia halafu wamesha taa kwa ndani ,msipige kelele watashtuka![]()
![]()
Hata sijui zipi zitanivutia ila huwa najifanya niwe angalau busy navitabu shida inakuja pindi nifunuapo tu habari yangu kwisha hadi najuta kuvitafta
Pole
Sidhani, ila km wanagombana hivi,ngoja nitakuambiaWanafanyaje Chief? Kibaba baba?
Kipenzi umesahau kuwa sauti imenikauka baada ya kukuimbia weekend yote?![]()
utaniambia mwakani. ...Ndio najifunzia kwako....
Babe nikuambie kitu....??
Sema tu shoga ulikua na mambo yako mengine usisingizie imekauka kwa ajili ya kuimbaKipenzi umesahau kuwa sauti imenikauka baada ya kukuimbia weekend yote?![]()
Leo usikimbie
Hata sijui zipi zitanivutia ila huwa najifanya niwe angalau busy navitabu shida inakuja pindi nifunuapo tu habari yangu kwisha hadi najuta kuvitafta




Wanapenda kazi ila kazi haiwapendiHao sio walinzi, ndio maana wanawahi
Kweli unachosema.
Katengeneza hela sana.... Box Office.
Wanawinda sio kulindaWanapenda kazi ila kazi haiwapendi