Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Ukimaliza niazime....Hapana kuna novel nasoma, nataka nipitie angalau page kadhaa...
Ukimaliza niazime....Hapana kuna novel nasoma, nataka nipitie angalau page kadhaa...
Hii comment yako na hiyo yake mbona sion kama inaendana[emoji3]Repulsive mkuu. Inna kakataa kusema Mambo?
Inna ni nani.?Repulsive mkuu. Inna kakataa kusema Mambo?
Really?Imagine finding out that the girl you have been chatting with for about a month is actually a guy.
The horror in discovering you have been using "dear" and normal English with a fellow guy.
Wacha niwe nanyi kwa muda
The nightmare!
Game nani wanakipiga?Tutakuwa pamoja Mpira ukiisha
[emoji28]Bado nusu saa nzima
OK OK muda bado sana,naandaa vifaa vya ulinzi sasa ,tayari kwa kaziSAA tano za usiku
Bila samahani[emoji4][emoji4][emoji4]Leo tu[emoji3][emoji3]nsamehe
Hao sio walinzi, ndio maana wanawahiBado nusu saa nzima
I'm telling you,Really?
NimeunganishaHii comment yako na hiyo yake mbona sion kama inaendana[emoji3]
Mimi apa[emoji133]Inna ni nani.?
SafiiMimi apa[emoji133]
Waasisi wa jf usiku wa manane.mapopo.Inna ni nani.?
Queen of popoz[emoji3][emoji3]Waasisi wa jf usiku wa manane.mapopo.
Mnafahamiana kumbe!?Nafurahi kukuona hapa,Inna.
Hujambo lakini.?
Sijambo karibu sana pande hizi...maana unaonekana u mgen hukuNafurahi kukuona hapa,Inna.
Hujambo lakini.?
Sahihi.Queen of popoz[emoji3][emoji3]