JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

doh!! basi uko addicted na novel, yaani usahau kusoma kwa ajili ya mtihani ili usome novel..

Basi tuwe tunapasiana mnavyoona vizuri labda nasi tukaonja utamu wake usingizi usitujie tena
Hujapata kitabu cha kukusahaulisha kula na kulala....

Nakumbuka kuacha kusoma kwa ajili ya mtihani kisa namalizia novel...
 
Back
Top Bottom