Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Unapenda kusoma Vitabu ?Tusaidieni nasi wavivu wa kusoma vitabu, maana wengine tukifunua tu kitabu usingizi mzito unatuvamia
Unapenda kusoma Vitabu ?Tusaidieni nasi wavivu wa kusoma vitabu, maana wengine tukifunua tu kitabu usingizi mzito unatuvamia
Insomnia
Hii sio nguvu ya soda tu sasa hvi tutakusahauhakuna kulala
Una kumbukumbuKuongea inglish au .....we si ulisema unatushangaa wabongo sijui tukoje
Upo nchi gani kwanza
Kuna ambaye hajakisoma? Basi atakuwa ameangalia Movie zake....
Jamani mbona me " nipo Sana " maybe twapishana katika forumsUmeadimika
Leo sauti imenikauka, ndio maana niko kimya nawasikiliza tu
Yupo humu bado hajajiskia kuongea
Umeuliza maswali mengi hata sijui jibu la swali gani kati ya haya unataka kuskia kwanza.Kuongea inglish au .....we si ulisema unatushangaa wabongo sijui tukoje
Upo nchi gani kwanza
Jamani mbona me " nipo Sana " maybe twapishana katika forums

Hapana " hiyo ni kitu nguvu ya kitu cha ARUSHA mixer ugolo na banana ... halali mtu Hapa .. mtalala nyote mimi ndiye nitakuwa wa mwisho kuzima TaaHii sio nguvu ya soda tu sasa hvi tutakusahau
Lakin sio mengi natumain unaweza kuyajibu yoteUmeliza maswali mengi hata sijui jibu la swali gani kati ya haya unataka kuskia kwanza.
Hapana " hiyo ni kitu nguvu ya kitu cha ARUSHA mixer ugolo na banana ... halali mtu Hapa .. mtalala nyote mimi ndiye nitakuwa wa mwisho kuzima Taa


ahaa wapHahaa usinivunje mbavu " wew hata sikuogopi mizinga haujui kupiga kabisa yaani " but maybe wingi wa notifications nikashindwa kuiona "...Kuna Mahali nilikuita nikuambie kitu...sijui ulidhani nataka kukupiga kizinga...ukapotea
@Zurri akutafuta @ ThadLeo sauti imenikauka, ndio maana niko kimya nawasikiliza tu
Kipenzi umesahau kuwa sauti imenikauka baada ya kukuimbia weekend yote?
