"Waache waoaneee" nilifunga mboni zangu kwa wengine nimuone yeye tuuuKipenzi umesahau kuwa sauti imenikauka baada ya kukuimbia weekend yote?[emoji16]
Lakin sio mengi natumain unaweza kuyajibu yote
Hujapata kitabu cha kukusahaulisha kula na kulala....Napenda sana kusoma ila nahisi vitabu havipendi nivisome
50% kwa 50% au vipiKushinda mimi[emoji57][emoji57]
Wanawinda sio kulinda
[emoji3][emoji3][emoji3]nmekukimbiza na maswali ee?!Wacha nipumzike, tafadhari nikaribishe tena kesho.
HeeeeeWacha nipumzike, tafadhari nikaribishe tena kesho.
KabsaLeo ndio leo mpaka majogoo [emoji23]
Bana wee sijui ndio mambo ya 1BLeo lindo lina watu balaa balaa.
Hapa tuangalie maana kuna wageni wengi sana, hawachelewi kuondoka na vifaa vya kazi
Sidhani, ila km wanagombana hivi,ngoja nitakuambia
Coded usihofu.Leo lindo lina watu balaa balaa.
Hapa tuangalie maana kuna wageni wengi sana, hawachelewi kuondoka na vifaa vya kazi
wanawake bwana " kweli mnanguvu zaidi ya breakdown .. Zurri akiwa huku ana kuwa mpole utadhani ameshikwa ugoni
Apo sio mbaya50% kwa 50% au vipi
utaniambia mwakani. ...
Leo usikimbie
Haaaaahaaaa.Apo sio mbaya
Bana wee sijui ndio mambo ya 1B