Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Hii elimu ya emoj aisee ilinishinda,naomba ukiwa unaziweka hizi uwe unanitafsiria aisee.
Hii elimu ya emoj aisee ilinishinda,naomba ukiwa unaziweka hizi uwe unanitafsiria aisee.
Umeipata wapi? Vya nani?
HaaahaaaMfanane kivp
Kamchukue Thad ndo tukupokee
Sawa.We soma hiko me napewa kesho kingine nakisoma alafu tutasimuliana
Kuongea inglish au .....we si ulisema unatushangaa wabongo sijui tukojeHa hah
Observe me,
Unapiga hodi wapi ?
Upo vizuri.Kina page si nyingi na kiko interesting, ukimaliza kuna movie yake walifanya kina Kevin Hart, Gabrielle Union na jamaa wengine.
Tusaidieni nasi wavivu wa kusoma vitabu, maana wengine tukifunua tu kitabu usingizi mzito unatuvamia



ndo unaanza kusoma vile venye story zinazokuvutia ...Karibu agwee.Hodiii
Mimi pia ndo mteja wa hizo, siku hiyo nilijikuta nakianza mpaka kufika pages kadhaa, kwa hiyo imebidi niendeleze nacho mdogo mdogo.
Umeshasoma The Bourne Trilogy ya Robert Lodrum?