MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
sikutegemea sikutegemeaSamahani lakini mchunga ndo nini
sikutegemea sikutegemeaSamahani lakini mchunga ndo nini
Mkuu lala tafadhalPole kwa kusalitiwa na hongera kwa kumlea mwanao.
Huku kumeshakucha nasikia jogoo la kwanza linawika
Mkuu lala tafadhal
Utasinzia on your day time hence less efficiency on your....work laksy
Hapana sio tusi nu mboga flani hivi chungu sana, inapendwa kuliwa na sungura
sikutegemea sikutegemea
Hapana sio tusi nu mboga flani hivi chungu sana, inapendwa kuliwa na sungura
mboga ya majani chunguuuuuuHapana mkuu hiyo mboga siijui, labda niwe naifahamu kwa jina jingine
ndo maana nasema sikutegemeaHapana mkuu hiyo mboga siijui, labda niwe naifahamu kwa jina jingine
doh!! hatari sasa hiyomboga ya majani chunguuuuuu
yaani unailoweka kwanza kisha unaifua
halafu ndo unaipika
ukiruka stage moja umepika shubiri
Thad..Yaani haya mambo yanakera kweli, tukidandia meli kwenda kwao tunaitwa wazamiaji ila wao wanaitwa mabaharia
Hapo sasa...nong'ono...Ninong'oneze unafikiria nini, ukikaribia ukweli nitakupa siri ya hii I'D yangu