Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Taratibu usije nizibia rizki kwa walinzi wenzangu humuHahahaha, vzr km umejua hivyo ,Leo Mr wako yuko wapi?
Taratibu usije nizibia rizki kwa walinzi wenzangu humuHahahaha, vzr km umejua hivyo ,Leo Mr wako yuko wapi?
Nzuri, karibu gah'awahabari za usiku huu wazee wa kukesha
Duh ,ushamtosa? Asee kweli nimeamini ....Taratibu usije nizibia rizki kwa walinzi wenzangu humu
Basi nisogezee hapa, nipige kazi, nchi ishavaa msuli hiiNinalo mkuu
Gobole si ni nyara ya sirikali?Siku hizi hatutumii marungu huku, njoo uchukue gobole hapa
Umeamini nini? Nikwibie siri usimuamini yeyote katika hii dunia, hata mzazi wako usijisumbue kumwaminiDuh ,ushamtosa? Asee kweli nimeamini ....
Walinzi hata wanapowakamata wanawaonea tu mida hii mlinzi analinda mali za mabilioni ila ana lungu tu mkononi.Taratibu usije nizibia rizki kwa walinzi wenzangu humu
Asante sanaNzuri, karibu gah'awa
Kuanzia leo naomba uweke makazi ya kudumu hapa, hutajuta. Nikuletee nini chai ya tangawizi au gah'waThx..hapa hua napita kwa nadra sana.
OK,sasa nimekuelewa vzrUmeamini nini? Nikwibie siri usimuamini yeyote katika hii dunia, hata mzazi wako usijisumbue kumwamini
Asante sana,nikipata muda nitakua napita usijali,tatizo hii ni mida yangu ya kukomaa na box.Kuanzia leo naomba uweke makazi ya kudumu hapa, hutajuta. Nikuletee nini chai ya tangawizi au gah'wa
Yaani gobole zetu ni nyara ila za kizungu ndio bunduki?Gobole si ni nyara ya sirikali?


Komaa mzee baba, ukija usisahau kuniletea zawadi ya huko!Asante sana,nikipata muda nitakua napita usijali,tatizo hii ni mida yangu ya kukomaa na box.

Ila kuna ukweli hapoYaani gobole zetu ni nyara ila za kizungu ndio bunduki?![]()
OK,sasa nimekuelewa vzr
Ila kuna ukweli hapo

Ni sawa na mwenyeji ukienda kuwinda unaitwa jangili ila mzungu akija kuwinda anaitwa jina zuri muwindaji pia ni mtaliiiTena ukweli mchungu
Yaani haya mambo yanakera kweli, tukidandia meli kwenda kwao tunaitwa wazamiaji ila wao wanaitwa mabahariaNi sawa na mwenyeji ukienda kuwinda unaitwa jangili ila mzungu akija kuwinda anaitwa jina zuri muwindaji pia ni mtaliii