JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Uchochezi huo Thad
Ulichezea bahati sasa waililia, hukujua kuwa bahati haiji mara mbili? Au unadhani juzi sikukuona na mabazazi wenzio mlivyokuwa mnakumbushana jinsi mlivyokuwa mnawakimbia warembo wa JF
Bahati gani hy nayo ililia ? Wapi huko tulikua tunakumbushana ? Mm nikimbie mrembo wa JF? Duh OK inawezekana , ila sijutii chochote Mkuu
Guys I'm sorry, it was just a joke![emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom