Ndivyo tulivyojiweka kuwanyenyekea sana,wakija huku tunasema wawekezaji nenda kwao tunaitwa omba ombaYaani haya mambo yanakera kweli, tukidandia meli kwenda kwao tunaitwa wazamiaji ila wao wnaitwa mabaharia
Yaani haya mambo yanakera kweli, tukidandia meli kwenda kwao tunaitwa wazamiaji ila wao wanaitwa mabaharia
Imekuwa kama zamani fisi watu wanarekodi taarifa ya habari ya saa mbili halafu wanaplay saa sita usiku watu wakisikia wanajua saa mbili kumbe mda ushaendaBora time keeper wetu umekuja maana saa ya mtu chake ilishapoteza majira na hataki kurekebisha ili atupoteze makusudi tusijue muda sahihi
Naomba ukubali kukubaliana nami kuwa ina maana kubwa sana kwangu.Kwann ulijipa id ya Thad samahani lakini
Usicheke dear, inaudhi kweliHa haa
Walijua kutukomoa kweli wapuuzi wale, ila saa wamekutana na kiboko yao jiweImekuwa kama zamani fisi watu wanarekodi taarifa ya habari ya saa mbili halafu wanaplay saa sita usiku watu wakisikia wanajua saa mbili kumbe mda ushaenda
Sawa nimekubaliana nawewe ila niliuza kwa sababu huwa inanifikirishaNaomba ukubali kukubaliana nami kuwa ina maana kubwa sana kwangu.
Siku hizi hizo mambo amna tenaWalijua kutukomoa kweli wapuuzi wale, ila saa wamekutana na kiboko yao jiwe
Pole mkuu,halafu walivyokuwa wapuuzi wanawauzia watu nyama vibudu wanasema mali kenya .ila sasa kama yapo ni kwa uchache sana.Walijua kutukomoa kweli wapuuzi wale, ila saa wamekutana na kiboko yao jiwe
Taratibu usije nizibia rizki kwa walinzi wenzangu humu
Ninong'oneze unafikiria nini, ukikaribia ukweli nitakupa siri ya hii I'D yanguSawa nimekubaliana nawewe ila niliuza kwa sababu huwa inanifikirisha
Watayafanya saa ngapi wakati saa sita watu wote tunatakiwa kuwa vitandaniSiku hizi hizo mambo amna tena
Sanaa!Usicheke dear, inaudhi kweli
Asante, nawe piaUsiku mwema jamani ngoja nilale mapema kesho mapema niwahi Jumuiya
Hawezi!