Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,298
NjemaWalinzi wa zamu za saa hizi jamani
NjemaWalinzi wa zamu za saa hizi jamani
hili kumbe unalijuaTatizo la kujifunika gubigubi, usingizi ukikoleavunajifunua halafu kwa jito la dar watu hawawezi kujifunika gubigubi
mbinu za kushambulia mfano umejifuniia shuka
aaaaaauuu (nilikua naua mbu hapa)
wanaokuja masikioni wanakuja kukuhamishia magoli uanze kukabia juu kumbe wanapita chini kushtuka tatu bila
Hilo sio tatizo la mtu mmoja mmoja bali jamii nzima.Huku kwetu tandale mitaro kila kona utasafisha upi uache upi, unasafisha hapa hape mtu anafungulia chemba
Hapana nshafika mbingununajiua au sio ?
Tatizo la kujifunika gubigubi, usingizi ukikoleavunajifunua halafu kwa jito la dar watu hawawezi kujifunika gubigubi
wanachofikiria hawa sisi tunapenda tabu na hao mbu tunawapenda piaHuku kwetu tandale mitaro kila kona utasafisha upi uache upi, unasafisha hapa hape mtu anafungulia chemba
Leta michangoR.I.P
Mazishi yatafanyikia wapi tuje kukuzika?
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo inawezekana kabisa kuwa wakati mwingine mbu wana mbinu za mashambulizi kuliko hata binadamumbinu za kushambulia mfano umejifuniia shuka
aaaaaauuu (nilikua naua mbu hapa)
wanaokuja masikioni wanakuja kukuhamishia magoli uanze kukabia juu kumbe wanapita chini kushtuka tatu bila
Hilo sio tatizo la mtu mmoja mmoja bali jamii nzima.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unataka hela ya kula njiani ukielekea akhera nini?Leta michango
Napokea mwenyewe kabla sijafa
Wakimazingira tena mazingira maskiniIla bado siamini, utafiti wako ni wa kisayansi au ki mazingira tu
Mimi pia naliona hilo, tatizo wao wanaisha, o'bay, msasani, masaki na M'beach watawajulia wapi mbuwanachofikiria hawa sisi tunapenda tabu na hao mbu tunawapenda pia
Wakimazingira tena mazingira maskini
nawanunulia malaika zawad[emoji23][emoji23][emoji23]Unataka hela ya kula njiani ukielekea akhera nini?
Umeona eeeh! Kila wakati anatiririka tu, utasema majibu aliyapanga tangu jana yake[emoji23][emoji23]Daaaaah hushindwi majibu.
[emoji23][emoji23][emoji23] jamani hebu niacheni nilale maana mwishowe nitavunjika mbavu zangu burenawanunulia malaika zawad
Zikivunjika nakupa zangu[emoji23][emoji23][emoji23] jamani hebu niacheni nilale maana mwishowe nitavunjika mbavu zangu bure
Ndiyo yaliyonifikisha hapa nilipo. Hivyo nayajua vyemaUnayajua mazingira maskini Thad ama unayasikiaga na kuyaona kwenye TV