Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Duh! Poleni sana kwa madhila hayoKuna mbu dar hii unaweza umalize rungu na hit madukani na ukaambulia magonjwa mengine ya kushindwa kupumua
Duh! Poleni sana kwa madhila hayoKuna mbu dar hii unaweza umalize rungu na hit madukani na ukaambulia magonjwa mengine ya kushindwa kupumua
aiiiiii unajifunika vipi gubi gubu wakati mbu wanatoboa hadi shukaSasa kuliko uvae sweta si bora ujifunike gubigubi na shuka? Au uko kama mimi, huwezi kulala ukijifunika gubigubi
Ndio, ukijifunika, mbu anakosa sehemu ya kukung'ataUnahisi ukijifunika ndo dawa
wapi nije ?Mtaani kwetu wananiita mama mbu, kesho uje nikushauri na wewe![]()
Hahahaaakweli wanaujumbe mzito.
Mbu ni mdudu mjinga kweli wanagawana majukumu, mmoja anazunguka masikioni huku wengine wakishambulia maeneo mengine
Hao sio mbu, watakuwa jirani zako wanakufanyia fitinaaiiiiii unajifunika vipi gubi gubu wakati mbu wanatoboa hadi shuka
wapi nije ?
basi kusingekuwa na uhamasishaji wa kutumia net ila tungehamasishwa kujifunika gubigubiNdio, ukijifunika, mbu anakosa sehemu ya kukung'ata
kweli wanaujumbe mzito.
Mbu ni mdudu mjinga kweli wanagawana majukumu, mmoja anazunguka masikioni huku wengine wakishambulia maeneo mengine


Sijajua kisa cha wao kuja kulilia sikioni huwa ni nini hasa.unajiua au sio ?Nakaribia kufa
Kwa herin
Tatizo hatuondoi mazingira yanayowawezesha kuzaliana, tunaishia kupambana na wale wanaoingia ndani tu.Kuna mbu dar hii unaweza umalize rungu na hit madukani na ukaambulia magonjwa mengine ya kushindwa kupumua
R.I.PNakaribia kufa
Kwa herin
mbinu za kushambulia mfano umejifuniia shukaSijajua kisa cha wao kuja kulilia sikioni huwa ni nini hasa.
Tatizo hatuondoi mazingira yanayowawezesha kuzaliana, tunaishia kupambana na wale wanaoingia ndani tu.
Sijajua kisa cha wao kuja kulilia sikioni huwa ni nini hasa.
Tatizo la kujifunika gubigubi, usingizi ukikoleavunajifunua halafu kwa jito la dar watu hawawezi kujifunika gubigubibasi kusingekuwa na uhamasishaji wa kutumia net ila tungehamasishwa kujifunika gubigubi