JamiiForums Usiku wa manane
Kuna mbu dar hii unaweza umalize rungu na hit madukani na ukaambulia magonjwa mengine ya kushindwa kupumua
mbu wengiiiiii
wanashambulia hao
leo silali hapa nimevaa bonge la sweta bado ninao sasa hv wamebadili mbinu wanakuja usoni hasa masikioni nahisi kuna ujumbe wananipa kwamba leo silali
 
Sasa kuliko uvae sweta si bora ujifunike gubigubi na shuka? Au uko kama mimi, huwezi kulala ukijifunika gubigubi
 
kweli wanaujumbe mzito.

Mbu ni mdudu mjinga kweli wanagawana majukumu, mmoja anazunguka masikioni huku wengine wakishambulia maeneo mengine

Back
Top Bottom