Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Badilisha wewe mbantu, mie sio[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Badilisha wewe mbantu, mie sio[emoji23][emoji23][emoji23]
Dawa ya moto ni moto, na wewe waimbie ili muimbiane[emoji23]umeme umekatika hapa naona mbu wamefurahi sana yaani wanapita masikioni mwangu wanaimba tu
leo silali tenaaa
umeme umekatika hapa naona mbu wamefurahi sana yaani wanapita masikioni mwangu wanaimba tu
leo silali tenaaa
Unacheka eeeh, ulitaka tuharibu ladha ya kamsemo sio?[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa unanichekesha!
sio masikhara hao mbu wamefurahi kuna mmoja mkubwa huyo akiendelea kuninyonya damu anaweza kuwa mkubwa kuliko ng'ombeHuwa unanichekesha!
umeme umekatika hapa naona mbu wamefurahi sana yaani wanapita masikioni mwangu wanaimba tu
leo silali tenaaa
sio masikhara hao mbu wamefurahi kuna mmoja mkubwa huyo akiendelea kuninyonya damu anaweza kuwa mkubwa kuliko ng'ombe
wanang'ata sijui kuchoma kama mishaleDawa ya moto ni moto, na wewe waimbie ili muimbiane[emoji23]
Hata mimi nikimwonaga tu, mbavu sina
sasa mbona huniambiaga ili nitunze mbavu zakoHata mimi nikimwonaga tu, mbavu sina
Sipendi hivyo vitu viwili mpaka basi, feni na netNamimi kesho itabidi ninunue net maana feni lisipofanya kazi tu mbu wanasarandia kwelikweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unacheka eeeh, ulitaka tuharibu ladha ya kamsemo sio?[emoji23]
Halafu siku zote nilijua wewe ndiye MO Dewjiwanang'ata sijui kuchoma kama mishale
nikiweza kulala na hawa mbu mbinguni siendi
[emoji23][emoji23][emoji23] Nafurahia maana unaniongezea siku za kuishi pasipo kujuasasa mbona huniambiaga ili nitunze mbavu zako
maana nitazivunja bure
Hahahahhaha jamani..n'gombe tenasio masikhara hao mbu wamefurahi kuna mmoja mkubwa huyo akiendelea kuninyonya damu anaweza kuwa mkubwa kuliko ng'ombe
Kwanini usiende mbinguni?wanang'ata sijui kuchoma kama mishale
nikiweza kulala na hawa mbu mbinguni siendi
Nitakuwa na uvumilivu wa kiasi kikubwa hadi itaonekana nastahili kwenda motoniKwanini usiende mbinguni?
[emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jamani dah!Halafu siku zote nilijua wewe ndiye MO Dewji