Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,566
Unamaanisha beer?Mkuu hiyo ya ngapi?Kumbuka upo lindoni Mazee.
Unamaanisha beer?Mkuu hiyo ya ngapi?Kumbuka upo lindoni Mazee.
Ana tililika kiwiki endii,Muache akimbize mwenge,kwani muda wa lindo si bado au tayari umeshatimu ?
Hivi Kumbe karanga zinarutubisha tu mwiliHapana, ili arutubishe mwili
Hili in tatizo bahat nishagundua kua nina tatizo hili. Nimefika hatua mbu naona vibaya kumwuaUna roho ndogo sana
Naam.Unamaanisha beer?
Unakua unafanya niini?Usiniuzie kesi. ..nimapema sana. ...wakati mwingine utanivumilia
Hahahahah itakuwa aisee sio kwa ukimya huo,,,au umemkosea mzee?Nimemfunga kwa solex asichangie
Ungejua usingesema hivo.. Tatizo juu ya tatizo
Na hiyo rutuba ambayo mwili unapata kutoka kwenye karanga ni ipiHapana, ili arutubishe mwili
Beer Na Soda situmii only juce & milkNaam.
Hatari namtazamaaaaaaaaaa..............!Ana tililika kiwiki endii,
Unakua unafanya niini?
Kweli yataka moyo,,,,Lakini wengine wanafakamia kama walikuwa na ugomvi mkubwa na hayo madudu,Nakula ila I we ishapikwa sitakiwi kumuona akichinjwa. Siwezi kushuhudia kuku akichinjwa
Hili lindo linaenda na story leo hata wezi Watakuja kupiga story leoMkuu hiyo ya ngapi?Kumbuka upo lindoni Mazee.
mhHahahaha,upi huo ? Kwanza yumo humu ?
Safi sana,Beer Na Soda situmii only juce & milk
Kimetokea nini bro ?
Sense inamekiwa vipi? Nami natakaNakuwa niko busy kujaribu ku make sense