Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,445
- 110,077
Kwanni?Safi sana,
Kwanni?Safi sana,
[emoji19][emoji19][emoji19]
Hahhahah,Lindo limetulia,Hili lindo linaenda na story leo hata wezi Watakuja kupiga story leo
Akikujibu nishtueKimetokea nini bro ?
Bado sijaweza ...nikiweza nitakutaarifuSense inamekiwa vipi? Nami nataka
Bro watu wanakuibia nini ?
Siwez kumkosea. Najitahid nisimuudhiHahahahah itakuwa aisee sio kwa ukimya huo,,,au umemkosea mzee?
Wezi wenyewe wametulia sasa hiviHahhahah,Lindo limetulia,
Muone vileBado sijaweza ...nikiweza nitakutaarifu
Hivyo vinywaji kitalaamu vinapunguza uhai na vinachokesha viungo,Kiufupi soda bia havifai kwa matumizi ya binadamu,Kwanni?
Muone vile
Katikati ya wanaume nachekwa though siishi kwa kuangalia watu wanataka niishi vipiHivyo vinywaji kitalaamu vinapunguza uhai na vinachokesha viungo,Kiufupi soda bia havifai kwa matumizi ya binadamu,
Wamenogewa.Wezi wenyewe wametulia sasa hivi
Nani kakuzoesha?Nimezoea kuambiwa Kaone vile. ..
Aisee Nakuona mother confessSomo wan'julia miee,.karanga ndio tamu yetu watoto wa pwani ya kaskazini sie,nigee mie nijidai,
Wenyeji wa hapo mpo? nimepita tu mara moja hii mitaa yenu..[/QUOTE
Tupo na hapa ndio kwetu,Karibu sana,,
Katikati ya wanaume nachekwa though siishi kwa kuangalia watu wanataka niishi vipi