Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Hawa wako vizuri kwenye upande wa Tamaduni,Kula nyoka mijusi chura na wadudu wengine inataka moyo,Hahaa utanipasua mbavu bure. Natamani nijifunze tamaduni zao niwe nacheka tuu
Hawa wako vizuri kwenye upande wa Tamaduni,Kula nyoka mijusi chura na wadudu wengine inataka moyo,Hahaa utanipasua mbavu bure. Natamani nijifunze tamaduni zao niwe nacheka tuu
Oohhh basi nawashukuru sana marafiki zangu wa Kiume....wananivumilia kwa mengi. ...Kwangu mimi hakuna urafiki kati ya boy na girl labda wote muwe na sifa za ukike kike.
Ila mimi siwezi kuwa na urafiki na mtoto wa kike,nikiona mtoto wa kike ananiletea habari za urafiki huwa nakata mawasiliano,hawachelewi kukuhadhia anavyotongozwa na mengine kadhalika.
Huku njema kabisa kiongozi. Naona ulitukimbia kwa mudaNiaje bro,,,mitikasi vp pande hzo
Nimesikia watu wa dar wanasema ni flyoverMkuu lile in daraja LA kuvuka pakashume Na kunguru zote za dar
Upo?
Hi bidabe ulipoteaa
Nachukia watu wanaokula wanyama Na waduduHawa wako vizuri kwenye upande wa Tamaduni,Kula nyoka mijusi chura na wadudu wengine inataka moyo,
Sasa mother confess unampa karanga za nini
Mimi ukiona nakufatilia au najipendekeza kwako ujue nimevutiwa na wewe yaani natafuta fursaaaaaaaaaaaaa.....Oohhh basi nawashukuru sana marafiki zangu wa Kiume....want ivumilia kwa mengi. ...
Mi niko arusha Huku nasikia wana Dar wanajisifia flyover sasa nilivyoona picha ikabidi nishangae mbona kama ya kuvukia upande mwingineWewe unaonaje kaka mkubwa,ile ni nini ?
Jina lako gumuHalafu wewe. ....ndio nani anaitwa hivyo?
Sikufichi unapaswa kuwashukuru sana.....Sisi wengine tumejaaliwa kuzisoma alama za nyakati mapema sanaaaa.Oohhh basi nawashukuru sana marafiki zangu wa Kiume....wananivumilia kwa mengi. ...
Kushinda weweUmenitupa...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] akikusikia ngosha the donMkuu lile in daraja LA kuvuka pakashume Na kunguru zote za dar
Hahaha hawa wako vizuri,Lakini wanaheshimu sana sheria zao,wanawachukuia sana wale wanavunja hizo sheria haswa wageni,,Nachukia watu wanaokula wanyama Na wadudu
Kwahiyo ukishapata unachokitaka. ..unasepa????Mimi ukiona nakufatilia au najipendekeza kwako ujue nimevutiwa na wewe yaani natafuta fursaaaaaaaaaaaaa.....
Kushinda wewe
Inaonekana bro una elimu kubwa sana kuhusu flyover embu tupe faida..............Mi niko arusha Huku nasikia wana Dar wanajisifia flyover sasa nilivyoona picha ikabidi nishangae mbona kama ya kuvukia upande mwingine
Hivi flyover huwa zinakuwa namna hii kweli