eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Mkuu swalamaWenyeji wa hapo mpo? nimepita tu mara moja hii mitaa yenu..
Mkuu swalamaWenyeji wa hapo mpo? nimepita tu mara moja hii mitaa yenu..
Siwezi. Maana aliyenizaa kashaniapia mabaya juu ya uleviUsije badilika. ....
Kama siyo wa mang'amung'amu na majinamiziUsingizi mtamu jamani
Hahahahah itakuwa aisee sio kwa ukimya huo,,,au umemkosea mzee?
mhUnazeesha Uso....kila siku unanuna tu
[emoji57]
Siwezi. Maana aliyenizaa kashaniapia mabaya juu ya ulevi
Haina tabu mida ya wakubwa hiiWenyeji wa hapo mpo? nimepita tu mara moja hii mitaa yenu..
nakuona tuBro watu wanakuibia nini ?
Kama siyo wa mang'amung'amu na majinamizi
Kisaikoloji binadamu kaumbwa haishi kama alivyo.Asiishi kwa maigizo kwani maigizo yana fedhea zake,,Katikati ya wanaume nachekwa though siishi kwa kuangalia watu wanataka niishi vipi
Bro mimi "nyuki wa mashineni" sina madhara. Kuwa na amani kaka mkubwa.nakuona tu
nakulindaMunchie unalinda au una winda?
okayBro mimi "nyuki wa mashineni" sina madhara. Kuwa na amani kaka mkubwa.
linamaansha mkiwaNimependa jina lako. Unaweza kutuambia linaamnisha nini?
Afu unajiita mtu mzima, sasa km wewe hujawah kunywa unasema kunywa ni kubaya je hawajakuambia usigonge demu kabla ya kumuoa?Siwezi. Maana aliyenizaa kashaniapia mabaya juu ya ulevi